A FANTASTIC DAY AT KASO 25 MAY 2013
Monday, May 27, 2013
MC James Jakson akiwakaribisha washiriki.
Washiriki wa workshop wakisikiliza kwa makini
Mkurugenzi wa KASO , Baby Baraka akibadilishana mawazo na Mgeni Rasmi Mkurugenzi wa Star International School Madame Jasca.
Brother Nziku akielezea nini amefaidika na workshop hii toka KASO.
Waandishi wa habari nao hawakuwa nyuma kuchukuwa habari muhimu
Kiongozi wa mafunzo Hemedi Hatibu akitoa Mada.
Kila kitu kilikuwa na raha yake...
Mshuhuda Madame Marge akitoa ushuhuda juu yakile alichovuna toka KASO.
Nini walifundisha wahitimu? Mkufunzi James Jackson akielezea kwa makini.
wakati wakupewa vyeti ukawadia
Mgeni rasmi akiongea na wahitimu baada yakuwagawia vyeti.
Wakufunzi wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi
Wahitimu wakipata picha ya pamoja na mgeni rasmi
KASO MEMBERS WITHOUT AID'S IS POSSIBLE!!!
Sunday, May 12, 2013